Nafasi za Beno, Ajibu na Yondani Yanga yazibwa
Baada ya mlinda mlango namba moja wa klabu ya Yanga, Beno Kakolanya, kutojiunga na timu hiyo iliyopo Shinyanga kwaajili ya mchezo wake wa ligi kuu dhidi ya Mwadui FC, kocha Mwinyi Zahera amempa nafasi Klaus Kindoki ya kukaa langoni.