Mwinyi Zahera aeleza anachokihofia
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga Mwinyi Zahera amesema hofu yake kuu kuelekea mchezo wa leo dhidi ya JKT Tanzania ni stamina ya wapinzani wao, akiamini kuwa wana mazoezi ya kutosha kiasi cha kuweza kuwapa wakati mgumu kwenye mchezo huo.