Kiungo wa Mamelodi Sundowns akutwa amefariki

Jayden Adams

 Nyota wa timu ya Taifa ya Afrika Kusini na klabu ya Mamelodi Sundowns, Jayden Adams amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 25, ikiwa ni muda mfupi tu baada ya kuiwakilisha Bafana Bafana kwenye michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS