''Bongo Movie mnapaswa kuwa na nidhamu'' - Fissoo Wasanii wa Filamu nchini wametakiwa kuwa na nidhamu ili kuwasaidia kuaminika kwa jamii kitu ambacho kitarahisisha ufanyaji wa kazi zao kutokana na taasisi za kifedha kuwasaidia. Read more about ''Bongo Movie mnapaswa kuwa na nidhamu'' - Fissoo