Manara afunguka hali ya Okwi, Bocco na Ninyonzima
Afisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara amefunguka na kudai kutokuonekana uwanjani kwa Emmanuel Okwi na John Bocco ulikuwa ni mpango madhubuti wa benchi la ufundi ili kuwalinda wasiumie zaidi na kupelekea wakashindwa kucheza mchezo unaofuata.

