Mtoto wa Rais kuivaa Madrid ? Chipukizi wa klabu ya soka ya PSG ya Ufaransa, Timothy Weah, ambaye pia ni mtoto wa nyota wa zamani wa klabu hiyo na Rais wa sasa wa Liberia George Weah amejumuishwa kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo. Read more about Mtoto wa Rais kuivaa Madrid ?