Darassa apotezwa na dawa za kulevya ?

Mtayarishaji wa muziki nchini Tanzania, Abba amefunguka na kudai si kweli ukimya wa Darassa unatokana na matumizi ya dawa za kulevya kama baadhi ya watu wanavyodhani na kuwataka wawe wavumilivu kwani muhusika mwenyewe atakuja kujitokeza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS