Jeshi la Polisi Dodoma lawashikilia wahamiaji
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia wahamiaji haramu wawili raia wa Rwanda pamoja na watoto 20 wa mitaani wenye umri kati ya miaka 7 hadi 15 ambao wamekuwa wakitumiwa na wahalifu kuiba vifaa mbalimbali vya magari.

