Serikali yaomba mkopo wa Dola Mil 150 Waziri wa Fedha na Mipango nchini, Dk. Philip Mpango ameiomba Benki za Dunia (WB), kuipa Tanzania mkopo wa Dola 150 milioni za Marekani ili kuchochea ukuaji wa uchumi na utoaji wa huduma nchini. Read more about Serikali yaomba mkopo wa Dola Mil 150