Tanzania kucheza na hizi nchi mbili Shirikisho la soka nchini TFF limetangaza kuwa timu ya taifa ya mpira wa miguu Taifa Stars itacheza mechi mbili za Kalenda ya FIFA ambazo ni dhidi ya Algeria na DR Congo. Read more about Tanzania kucheza na hizi nchi mbili