Yanga yarudishwa tena Namfua

Mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya Yanga imepangiwa kucheza na Singida United kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho nchini, mchezo ambao utapigwa kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS