Sababu za Sugu kuinyanyasa CCM, Polepole azianika
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole, ametoboa siri ya CCM kushindwa mara mbili mfululizo uchaguzi Jimbo la Mbeya Mjini ambalo linaongozwa na Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na kusema kwamba Ubaguzi ndiyo chanzo cha mambo yote.

