Serikali yawapa onyo wakazi wa mabondeni
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa imewaonya kwa mara nyingine wakati wa mabondeni kuchukua tahadhari kufuatia mvua kubwa zinazotabiriwa kunyesha ndani ya mwezi huu kwani zinasababisha mafuriko makubwa.

