Wajawazito watumia vidonge vya kuchubua watoto

Wanawake nchini Ghana wameonywa kutotumia dawa za kujichubua ilikubadilisha ngozi ya watoto kuwa nyeupe wakati bado wako tumboni kwa kutahadharishwa kuwa dawa hizo haramu zinapelekea madhara ya uzazi ikiwemo viungo vya ndani vya mtoto kuharibika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS