''Aliyejiandaa atashinda popote'' - Yanga Klabu ya soka ya Yanga kupitia kwa msemaji wake Dismas ten amesema mshindi wa mchezo wao leo, ligi kuu soka Tanzania bara dhidi ya Ndanda FC atapatikana kutokana na maandalizi ya timu hizo. Read more about ''Aliyejiandaa atashinda popote'' - Yanga