TFF yaweka wazi maelekezo ya Infantino

Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF leo limeweka wazi kuwa Rais wa FIFA Gianni Infantino alisisitiza kuwa lazima shirikisho lipinge masuala ya rushwa michezoni kwenye mkutano wa (FIFA Football Executive Summit) uliofanyika nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS