"Condom za China saizi hazitoshi” - Waziri

Waziri wa Afya nchini Zimbabwe David Parirenyatwa ameyataka makampuni yanayoingiza condom nchini humo kuzingatia ubora na vigezo, kwani condom nyingi wanazoingiza zinakuwa hazina viwango na ubora, huku wengi wakilalamikia kutowatosha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS