Barnaba awavuruga Mwalimu na mwanamuziki wa bongo Fleva, Barnaba Elias 'Barnaba Classic' amefunguka na kurusha jiwe gizani kwa kusema hakuna kitu ambacho anaweza kuwalipa watu waliomtendea mema na hata mabaya mpaka kufikia sasa alipo. Read more about Barnaba awavuruga