Azam FC yazirudisha silaha zake kikosi

Wachezaji wawili wa klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Nahodha Himid Mao na mshambuliaji Wazir Junior wamerejea rasmi uwanjani kwa kuanza kufanya mazoezo mepesi mepesi baada ya kukosekana kwa kipindi kirefu kutokana na kuwa majeruhi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS