Tukikukuta pasipoeleweka tunakukamata- Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali imedhamiria kuwalinda watoto wa kike na ndiyo maana wanawataka watoe taarifa za watu wanaotaka kuwakwamisha kimasomo kwa watendaji wa vijiji kwenye maeneo yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS