Mkuu wilaya ya Pangani awafunda wanawake
Mkuu wa wilaya ya Pangani Bi. Zainab Abdallah amefunguka na kudai anawaheshimu wanawake wenzake wanaojishughulisha kutafuta pesa kwa namna moja ama nyingine huku akiwataka wasiwape upenyo baadhi ya watu ambao wanataka kuwarudisha nyuma kimaendeleo.

