Simba haishikiki, Okwi hakamatiki Klabu ya soka ya Simba leo imefanikiwa kuendelea kutanua wigo wa alama kileleni baada ya kupata ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mbao FC kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam. Read more about Simba haishikiki, Okwi hakamatiki