Kamanda wa Polisi apata ajali Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha, Charles Mkumbo amepata ajali katika eneo la Mdori mkoani Manyara baada ya gari alilokuwa akilitumia kupasuka gurudumu 'tairi' ya nyuma na kupoteza uelekeo. Read more about Kamanda wa Polisi apata ajali