Mch. Mwingira amshinda Mmarekani Mahakamani
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeitupilia mbali kesi ya madai iliyofunguliwa na Dk William Morris, raia wa Marekani dhidi ya mkewe Dk Phills Nyimbi na Mchungaji Josephat Mwingira kwa kuwa na mahusiano kisha kupata mtoto.

