Wabunge kupiga kura kumng'oa Jaji Mkuu

Jaji Mkuu wa Kenya david Maraga

Kura za kumuondoa madarakani Jaji Mkuu wa nchi ya Kenya David Maraga zinatarajiwa kupigwa na wabunge wa nchi hiyo, baada ya kupelekwa barua ya kuwataka kufanya hivyo na mwanasheria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS