''Dogo Janja ameolewa'' - Edu Boy Mkali wa Bongofleva Edu Boy ameamua kumjibu Dogo Janja ile kauli aliyomuambia kuwa yeye ni mtoto na kumuambia kwa kusema Janja ameolewa na ndo maana anaona wenzake wadogo hivyo apambane na ndoa yake. Read more about ''Dogo Janja ameolewa'' - Edu Boy