CHADEMA kuweka pingamizi 

Mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (kulia), Prof. Abdalla Safari (katikati) pamoja na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa Emmanuel Masonga.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimedai kinakusudia kukata rufaa ya kupinga hukumu iliyotolewa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Kanda ya Mbeya dhidi ya washtakiwa Joseph Mbilinyi na Emmanuel Masonga iliyotolewa leo (Jumatatu)

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS