Simba kuchezesha mwenye 'Red Card' ? Kuelekea mchezo wa raundi ya 19, ligi kuu soka Tanzania Bara leo jioni kati ya Simba dhidi ya Mbao FC, kikosi cha Simba kilichotolewa kimegundulika kuwa na jina la beki Juuko Murshid mwenye kadi nyekundu. Read more about Simba kuchezesha mwenye 'Red Card' ?