ACT-Wazalendo 'yakunwa' na Baraza
Chama cha ACT-Wazalendo kimewapongeza Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kwa kuweza kuonyesha uthubutu wao wa kujitokeza mbele na kuongea ukweli kuhusiana na kuminywa kwa Demokrasia nchini bila ya wasi wasi wowote.

