Azam FC yashindwa kuipiku Yanga Klabu ya soka ya Azam FC imelazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara uliomalizika jioni hii kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Read more about Azam FC yashindwa kuipiku Yanga