Yanga kuutafuna mfupa uliomshinda Simba ? Wapinzani wa Yanga katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya soka ya Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar wamebainika usiku huu baada ya klabu hiyo kumaliza ya pili hivyo kukutana na URA. Read more about Yanga kuutafuna mfupa uliomshinda Simba ?