Milioni 50 za JPM kila kijiji zatolewa ufafanuzi

Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hamisi Abbas amesema kwamba ahadi ya ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya kutoa milioni 50 kila kijiji itatekelezwa ingawa chama hicho hakikutaja wakati maalumu wa kutoa pesa hizo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS