Idris ataja wasanii anaowachukia
Mchekeshaji wa filamu na muigizaji wa bongo 'movie' nchini Idris Sultan amefunguka na kudai anawachukia wasanii jinsia ya kike wanaokaa utupu katika video zao kwa lengo la kujitafutia umaarufu wa haraka katika jamii jambo ambalo sio zuri.

