Coutinho sasa ni namba mbili Baada ya klabu za Barcelona na Liverpool kufikia makubaliano ya nyota wa Brazil Philippe Coutinho kutua Camp Nou, kiungo huyo anakuwa nyota wa pili kununuliwa kwa fedha nyingi zaidi katika historia ya soka. Read more about Coutinho sasa ni namba mbili