Simba yaitafuna Azam ikisaka Ubingwa Vinara wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya Simba imeendelea kujikita kileleni mwa msimamo baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC. Read more about Simba yaitafuna Azam ikisaka Ubingwa