Mtulia aliagiza Jeshi la Polisi

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni (CCM), Maulid Mtulia

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni (CCM), Maulid Mtulia amelitaka Jeshi la Polisi hasa wa usalama barabarani waache kuwafanya waendesha bodaboda kama gari lao la mshahara kwa kuwabambikia kesi zisizokuwa za kweli pindi wanapo wakamata.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS