Bella aweka wazi kuhusu kutumia dawa za kulevya
Msanii wa muziki wa Dansi hapa nchini Christian Bella amefunguka na kupangua kashfa ya dawa za kulevya iliyosambazwa mitandaoni na kusema kwamba wanaosambaza taarifa hizo ni watu wenye chuki binafsi na pia hawezi kumlaumu msambazaji wa taarifa hizo.