Msanii afungiwa, Giggy na Sanchi kujisalimisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, imemfungia kujihusisha na kazi za sanaa, msanii Pretty Kind kutokana na uvunjifu wa maadili. Read more about Msanii afungiwa, Giggy na Sanchi kujisalimisha