Wanawake wananiogopa - Idris Sultan Mfanyabiashara na mchekeshaji maarufu bongo Idriss Sultani amekiri wazi kwa sasa wanawake wengi na warembo wanamuogopa kuwa naye kwenye mahusiano kutokana na kazi yake pamoja na umaarufu alionao. Read more about Wanawake wananiogopa - Idris Sultan