Mnyeti awaadabisha watendaji wafanya siasa

 Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti, ametengua nafasi za watumishi 44 wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu  baada ya kujiridhisha na tuhuma za kujihusisha na masuala ya siasa badala ya kutekeleza majukumu ya kiutumishi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS