Anayesadikiwa kuwa Jambazi auwawa na Polisi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP, Simon Haule amethibitisha kuwa Jeshi la Polisi Mkoani kwake limemuua Joseph Dogani mwenye umri wa miaka hamsini  mkazi wa kata ya Ndala Mjini Shinyanga anayedaiwa kuwa ni jambazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS