Saratani yamuondoa Tsvangirai Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Morgan Tsvangirai, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, akiwa nchini Afrika Kusini akipatiwa matibabu ya saratani akiwa na umri wa miaka 65. Read more about Saratani yamuondoa Tsvangirai