Uongozi wafunguka sheria ya viboko 12
Uongozi wa kata ya Nyehunge Wilayani Sengerema mkoani Mwanza, umetolea ufafanuzi taarifa za kuwepo kwa sheria ya kuwachapa viboko 12 mtu yeyite atakayekutwa amesimama na mwanafunzi wa kike, na kusema kwamba taarifa hizo hazina ukweli wowote.