Waziri Mkuu athibitisha kuwasilisha tamko
Baada ya Rais Magufuli hapo jana kuwasilisha tamko la maadili ya viongozi wa umma, leo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amethibitisha kuwa amekwishawasilisha tamko la maadili ya viongozi wa umma tangu Desemba 28, 2017.