Waziri Mpango afunguka kuhusu deni la taifa Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imewatoa hofu wananchi kuhusu uvumi wa kuongezeka kwa deni la Taifa kwasababu deni hilo ni himilivu na liko chini ya ukomo wa hatari. Read more about Waziri Mpango afunguka kuhusu deni la taifa