Kiongozi mwingine aondoka CHADEMA

Mwenyekiti wa Wilaya ya Siha (CHADEMA), na Diwani wa Kata ya Gararagua ametangaza kujivua nafasi zake zote za uongozi ndani ya Chama hicho na kutangaza anahamia Chama Cha Mapinduzi kuungana na Rais Magufuli kulinda rasilimali za nchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS