Boby Wine atoa ya moyoni kifo cha Radio
Msanii Boby Wine wa nchini Uganda ambaye pia ni mbunge wa bunge la nchi hiyo, amesema kuna umuhimu wa wasanii na watu maarufu nchini humo kuwa na ulinzi wa kutosha, ili kuzuia mashambulizi yanayowatokea na kupelekea vifo vyao.

