Wabunge wataka matokeo ya mtihani yachunguzwe Wabunge watatu nchini Kenya wametaka wataalam wa kimataifa wafanye ukaguzi wa kina kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2017. Read more about Wabunge wataka matokeo ya mtihani yachunguzwe