Wavunja kanisa na kuiba Watu wasiojulikana wamevunja kufuli ya mlango wa Kanisa la Baraka na Uzima (GRM) lililopo Mtaa wa Kokehogoma Kata ya Turwa wilayani Tarime, na kufanikiwa kuiba vitu mbali mbali vilivyomo ndani. Read more about Wavunja kanisa na kuiba