Tanzania hoi, Uganda wababe

Tanzania imezidi kuporomoka kwenye viwango vya soka duniani baada ya kushuka kwa nafasi tano zaidi kwenye viwango vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa mwezi Novemba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS